Tina Marego: Mwimbaji wa nyimbo za Injili

Tina Marego ni moja wa
wanafamilia wa WAPO MISSION.
Ni binti mdogo lakini mwenye
uwezo wa hali ya juu kusikiliza nini
anachosema mwalimu wake na
mwenye uwezo mkubwa katika
kubuni matangazo mbalimbali ya
biashara yanayotangazwa redioni.

Soma historia yake, sikiliza
wimbo wake na ujifunze ni jinsi
gani anavyofanikiwa
kuyafanya
hayo...
FAMILIA YA WAPO NI KURASA KATIKA
MTANDAO WETU UNAOTOA NAFASI YA SHULE
MBALIMBALI KUWEKA MTANDAO WAO KATIKA
MTANDAO WETU KUELEZEA JAMII MAENDELEO
YA SHULE ZAO

Iambie jamii ni jinsi gani shule yako
inavyofanikiwa
Kuelimisha wanafunzi ili
kujiandaa na mitihani.
Kuwaelimisha na kuwaandaa
wanafunzi ili wamudu maisha
yao ya baadaye.

Tirav Secondary School, imekuwa ni
shule ya kwanza kuwepo katika familia
hii. WAPO MISSION imekuwa ikifanya
juhudi za ziada kuwaombea na
kuwabariki wanafunzi ili wafanikiwe
katika masomo yao.
Shuhuda za watu
mbalimbali wanaotokea
kushiriki maombi ya
hakuna lisilowezekana

Wengi wa hawa
wanaoombewa na kupata
uponyaji ni wale
wanaokuwepo katika huduma
ya maombezi kila wakati
wakihudumiwa na
wanamaombi wa huduma ya
Hakuna Lisilowezekana.

Si tu wanaokuwepo kila mara
wakiombewa katika huduma
ya hakuna lisilowezekana.
Lakini hata wale
wanaotokeza kwa dharura
katika huduma hii.

Wengine wao wala si
Wakristo, wala hawamo
katika orodha ya
wanaoombewa kila mara na
watenda kazi wa huduma hii
ya hakuna lisilowezekana.

Kwa kipindi hiki utaweza
kusoma ushuhuda wa Bi
Janet Simon na kama
Computer unayotumia ina
speaker, basi utaweza
kusikia sehemu ya shuhuda
zao kwa sauti zao
wenyewe...
PICHA ZA FAMILIA YA WAPO
Picha za waimbaji na watu mbalimbali
wanaoimba au kuhudhuria Ibada ya
HL
Waimbaji wa
nyimbo za Injili
Mafanikio yao katika
kutangaza Jina la
Yesu Kristo

Kwaya ya
Gethsemane
Vingunguti
Shule za Sekondari
na Maendeleo yao

Historia, mafanikio,
malengo na matarajio
ya shule mbalimbali
Jiunge na Shule za FAMILIA YA WAPO MISSION
TIRAV SECONDARY SCHOOL
Tina Marego: Mwanamziki wetu wa sasa
Mwanafamilia wa
WAPO katika
Ushuhuda
Waliopona ukimwi,
waliofanikiwa kupata
ajira baada ya
kuombewa nk.
Shuhuda: Hakuna Lisilowezeka
Tunatoa nafasi ya
udhamini wa
kurasa hizi za
FAMILIA YA
WAPO
.

Nunua udhamini
wa huduma hii ya
WAPO FAMILY.

Wasiliana nasi
kwa ajili ya
matukio yote ya
familia ya WAPO
na au
kutangaza
hapa

familiayawapo@wapotz
.org

0773 897 777
Wakati Bwn
Bon Mwaitege
alipotamka,
"Ushindwe
shetani" Akina
Mama wawili
walianguka na
kubebwa juu juu
na wahudumu
wa huduma ya
Hakuna
Lisilowezekana
wakipelekwa
chumba cha
maombi.

Huku wakijigara
gaza chini kwa
kupagawa
na mapepo kila
alipotamka
Ushindwe
Shetani.

Akina Mama
hao
hawakuweza
kudumu
kuwepo katika
ukumbi huo
ulioonekana
kujaa uweza wa
Mungu bali
kubebwa na
kupelekwa
kwenye...
Wanafunzi wa
TIRAV SECONDARY SCHOOL
Habari za Wanamziki wa Injili, Maendeleo ya Elimu Tanzania, website yako
ndani ya web yetu na Shuhuda mbalimbali.
Bi. Janet Simon:
Kutoka Tanga, aliugua Ukimwi
baada ya Maombezi kwa Jina
Yesu; Alipona.

Bi. Janet ni moja wa
wanafamilia ya WAPO
MISSION ambaye
amekuwepo kwenye
maombezi haya baada
ya dada mmoja
mfanyakazi mwenzie
ambaye alimwelekeza
BCIC centre ili
aombewe...
Ushuhuda huu
unapatikana
Vile vile kwa njia ya
sauti yake
mwenyewe
aliyeathirika na
kupona
Shuhudia Yesu
amekutendea
nini...
M N

Baada ya
kuimba
ndoto ile
ikatoweka
ghafla
nikajikuta
niko
kitandani.  

Tendo hilo
lilinishanga
za maana
nilikuwa
sijawa na
uwezo
mkubwa
wa
kupambanu
a mambo.

Sikujua
nifanye
nini!...  
Counter
SHULE YA  
SEKONDARI TIRAV
Uanzishaji wa shule
ulitokea mara baada ya
kupata taabu
ya maisha hasa malipo
ya fedha kidogo za
mshahara Tshs.
50,000/= na mahitaji
mengine kama posho,
usafiri na Pango
la nyumba, ukikusanya
mapato yangu yote ni
Tshs.59,000/-.
Fedha hizo hazikukidhi
haja ya kuendeshea
maisha yangu
na familia.
BCIC OFFICE: MAP
DIRECTION
Biblical Counseling and
Intercession Center
Mbezi Beach, Bagamoyo Road,
Interchick Bus Stand
Phone +255 222 627 979
HEAD OFFICE
Word And Peace Organisation (WAPO)
P.O.Box 6178, Dar es Salaam
Phone +255 222 850 234
Fax +255 222 851 266
Email:
info@wapotz.org
Wasiliana nasi
PRAYER CONTACT FORM
Gonga hapa kuzungumzia jambo!
BETHELI MOTO NDANI YA UKUMBI
WA BCIC WAPO MISSION - MBEZI

Karibu
uone matukio yao
When I was
about 13 years
old. I heard a
voice telling
me that go to
preach!
However I said,
answering or
responding
unto that
voice, that; I
am too young
to preach the
Gospel. Then
the voice
remained

silently...
TUNAMWACHIA MUNGU "YESU"
AMPATIE BARAKA NA AFYA
NJEMA
Ndivyo alivyomalizia Dada huyu
wa kihindi kutoa ushuhuda wao.
Kama anavyoonekana
akiwa ameshika kipaza sauti,
Dada huyu mwenye asili ya
Kihindi, alianza kudadavua
sababu za wao familia nzima
kujibeba watu wote wazima
wanne na mtoto mdogo mmoja
hadi
madhabahuni...
Ndivyo alivyomalizia: Tunamwachia Mungu Yesu
Bwn Medard Ezekiel

Nilikuwa nikitembelea
gari la kukodi kila
nilipotaka kutoka nje ya
nyumbani. Nilifika hapa
Jijini Dar es Salaam
nikitokea Hospitali ya
Rufaa ya Bugando ya
mjini Mwanza, alieleza
Bwana Medard Ezekiel.

Ndugu huyu ambaye
amekuwepo katika
Huduma ya Hakuna
Lisilowezekana
inayoendeshwa na Askofu
Sylvester Gamanywa,
maeneo ya Mbezi Beach.

Kwa kusoma ushuhuda
wake zaidi
gonga hapa...